NEWCASTLE WAMSAJILI YANGA NA WATATU WENGINE KUFUATA.


yanga

yanga

Newcastle wamsajili nahodha wa Montpellier aitwaye Mapou Yanga-Mbiwa mchezaji huyo aliyekuwa anachezea soka lake nchini Ufaransa anajiunga na klabu hiyo na kupelekea wimbi la wachezaji watokao ufaransa kuongezeka klabuni hapo. Newcastle walimsajili Debuchy wiki iliyopita ambaye pia ametokea Ufaransa si hilo tu bali timu hiyo tayari imeshakamilisha maongezi na wachezaji wengine wawili (Gouffran,Massadio Haidara) ambao wote wanatokea ufaransa.
yanga vipimoni

yanga vipimoni


Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on January 23, 2013, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: