FERGIE AMTAKA WANYAMA.


WANYAMA AKIFUNGA GOLI

WANYAMA AKIFUNGA GOLI

FERGIE AKIWA GLASGOW.

FERGIE AKIWA GLASGOW.

Man United wakijiandaa na mechi ya FA dhidi ya Fulham wikiendi hii, kocha wao Sir Alex arudi kwao Scotland kwa ajili ya kumchunguza kwa karibu mchezaji wa CELTIC Victor Wanyama kwa ajili ya uwezekano wa kumsajili mchezaji huyo.
Wanyama mwenye umri wa miaka 21 amekuwa mchezaji muhimu wa Celtic msimu huu na kuweza kuifanya timu hiyo kuweza vuka hatua ya makundi ya UEFA.
Chanzo: DAILYMAIL

Advertisements

Posted on January 23, 2013, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: