Mancini amtaka Balotelli aache Sigara.


Mario Balotelli

Mchezaji wa Man City Mario Balotelli anamfanya kocha wake Roberto Mancini apate wasiwasi kutokana na tabia yake ya kuvuta Sigara tano kwa siku na hivyo kumuomba mchezaji huyo aende kwa daktari ili aweze iacha tabia hiyo.

Man City wanaamini uvutaji huo hautomsaidia Balotelli kuweza pona vizuri pindi atakapofanyiwa operesheni ya jicho wiki ijayo.

Msimu uliopita Mancini alimkatazaga Balotelli tabia hiyo ya uvutaji na kumshauri apunguze lakini kumbe mtukutu huyo hata hana mpango huo.

Mancini aliudhika zaidi pindi alipoona picha za Balotelli akivuta siku chache kabla hajafanyiwa operesheni.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on September 5, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo, Tetesi and tagged . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: