Taarifa za usajili mpaka za sasa kwa ufupi.


Clint Dempsey

Liverpool wapo katika mazungumzo na Fulham ya kumsajili Dempsey.
Chanzo: Goal.com

 

 

 

 

Man City wamsajili Scott Sinclair wa Swansea kwa ada ya paundi mil 8.

scott Sinclair..

Chanzo: Dailymail

 

 

 

 

 

 

Granero

Granero wa Real Madrid ametua jijini London kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya tayari kwa kujiunga na QPR kwa ada ya takriban paundi mil 9.
Chanzo: Dailymail

 

 

 

Defoe

Defoe asaini mkataba mpya wa miaka 3 Tottenham.
Chanzo: Dailymail

 

 

 

Yesil

Liverpool wamsajili mchezaji wa kijerumani kutoka klabu ya Bayer Leverkusen Samed Yesil kwa ada ya paundi mil 1.
Chanzo: Dailymail

 

 

Joey Barton kujiunga na Marseille baada ya kuikacha QPR.
Chanzo: Dailymail

 

 

 

 

Modric

Modric ashinda taji lake la kwanza baada ya kutua Madrid.
Chanzo: Dailymail

 

 

 

 

ANDY CARROLL

Carroll ajiunga na Westham kwa mkopo .
Chanzo: Dailymail

 

 

 

 

Berbatov

Berbatov yupo London akifanya vipimo tayari kwa kujiunga na Fulham.
Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo, Tetesi and tagged . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: