Rooney nje takribani mwezi mmoja.


Wayne Rooney jana

 Kocha wa Uingereza Roy Hodgson anatarajiwa kutaja kikosi chake siku ya alhamisi bila ya Rooney baada ya mchezaji huyo kuumia vibaya jana katika mechi dhidi ya Fulham.

Manchester United V Fulham..

“Ameenda Hospitali na inaonesha umeumia vibaya sana. Itabidi tuwe waangalifu sana kuhusiana na kidonda hicho lakini ameenda katika hospitali bora kwa hiyo naimani baada ya kama wiki nne hivi atakuwa amepona.
Ilikuwa ni bahati mbaya, Rodallega alikuwa anataka kucheza mpira.” alisema Fergie

Rodallega:daah pole kaka

Fergie hakusita pia kumpa sifa Van Persie ambaye jana alifunga goli lake la kwanza.
“Palikuwa na ofa nyingi za kumtaka lakini akaamua kuja kwetu, na hapo inaonesha yeye sio mchezaji anayependa fedha ila anahusudu mpira, maana ukizungumza swala la fedha hakuna atakaye ipita Man City.”

Rooney akienda hospitali

Chanzo: Dailymail

 

Advertisements

Posted on August 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: