Chelsea wamsajili Moses.


Victor Moses

 Chelsea sasa wametumia zaidi ya paundi mil 80 katika kusajili wachezaji msimu huu.

Siku ya ijumaa wamekamilisha tena usajili wa mchezaji wa Wigan Victor Moses kwa ada ya paundi mil 9.

Chelsea ndio klabu iliyotumia hela nyingi sana katika usajili kuliko klabu yoyotempaka sasa katika ligi ya Uingereza ingawaje Di Matteo anasema bado klabu za Manchester ndizo anazipa kipaumbele katika kutwaa kombe.
 
Chelsea pia wanampango wa kuuza Malouda lakini kikwazo kinakujakatika mshara wa mchezaji huyo. Amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake na ameambiwa anaweza kuhama kwenda klabu nyingine lakini tatizo mchezaji huyo hataki kuhama halafu mshahara wake wa paundi 70,000 ukatwe.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: