Moto na mabomu yapigwa katika mechi ya PAOK dhidi ya Rapid Viena huko Ugiriki.


mashabiki wa PAOK na Rapid Vienna wakikimbia bomu la machozi

Ilikuwa ni mechi ya kufuzu kucheza mechi za Europa (Eufa ndogo) ambako mashabiki wa timu hizo mbili walianza mechi kwa kupigana na kutupiana vitu vya moto na baada ya kuona  mechi inacheleweshwa kuanza mashabiki walivamia mpaka uwanjani na hapo ndipo polisi walipokuja na kulazimika kutumia mabomu ya machozi.

mashabiki wa Rapid Vienna wakikimbizwa na polisi

mashabiki wakilazimisha mechi ianze..

mashabiki wakilazimisha mechi ianze

Mechi ilipofanikiwa kuanza mashabiki hao walitulia na mwisho matokeo yakawa PAOK 2 – 1 Rapid Vienna.

mashabiki wakilazimisha mechi ianze….

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: