FC Twente wamsajili Boyata wa Man City.


Dedryck Boyata

FC Twente wamefanikiwa kumpata mchezaji wa Man City Dedryk Boyata kwa mkopo.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 ametua klabuni hapo na hivyo kupelekea uvumi wa kuwa mchezaji Douglas wa hapo FC Twente anaweza kwenda Uingereza huku klabu za Newcastle na Fulham zikiwa zamgombania na taarifa zaidi zadai ya kuwa Fulham tayari wameshatoa paundi mil 4 na huku Newcastle wakiwa wametoa paundi mil 4.5

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: