Adam Johson wa Man City ajiunga na Sunderland.


Johnson

Sunderland wamekamilisha usajili wa paundi mil 10 wa winga wa Man City Adam Johson.

“Kuongeza ubora katika timu ndio limekuwa jambo kubwa kwetu msimu huu na Adam anao Ubora tunaouhitaji.
Ana uwezo mkubwa, mpiga pasi mzuri na ninauhakika ni mchezaji ambaye atawafurahisha mashabiki.
Nina furaha sana kumpata.” alisema O’Neill.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: