Sahin kabadilisha mawazo aitaka Liverpool na sio Arsenal tena


Nuri Sahin: niende wapii?

Uhamisho wa mchezaji Nuri Sahin unaanza kuwa wa aina yake baada ya mchezaji huyo kusemekana angejiunga na Arsenal wiki iliyopita lakini sasa inasemekana anaenda Liverpool.

Msemaji wa mchezaji huyo (agent) Reza Fazeli amesafiri kwenda Anfield kwa ajili ya kukamilisha dili hilo.

Mwanzo ilionekana mchezaji huyo angeenda Arsenal lakini baada ya kugundulika ya kuwa Arsenal wanataka kumnunua mchezaji huyo na sio kumchukua kwa mkopo, Sahin pamoja na Madrid wote wakakataa kukamilisha uamisho huo na hivyo kuhamisha mawazo yao kwa Liverpool amabao wanamtaka Sahin kwa mkopo na huku wakimuhakikishia kupata namba.

Liverpool wanataka kukamilisha usajili huo leo leo alhamisi ya leo.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 23, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: