Liverpool kuwauza Adam na Spearing ili kumpata Dempsey.


Clint Dempsey

Liverpool wanajitahidi kadri wawezavyo ili kuweza mpata Clint Dempsey wa Fulham kabla kufungwa kwa dirisha la usajili.

Rodgers tayari ameshatumia paundi mil 25 kwa usajili wa Joe Allen na Borini na hivyo inamlazimu kuuza wachezaji ilikuweza pata fedha ya kumnunulia Dempsey.
Andy Carroll kuihama Liverpool inaanza kuonekana ni swala lililogonga ukuta na hivyo kupelekea Rodgers kuamua kuwauza Adam na Spearing.

Charle Adam

Adam na Spearing wote hawapo katika mipango ya Rodgers kutokana na Gerrard, Allen na Lucas kuwa chaguo la kwanza la kocha huyo huku Jonjo na Henderson pia wakipewa kipaumbele zaidi kuliko Adam na Spearing.

Spearing

Inasemekana wiki ijayo kabla dirisha halijafungwa Spearing anaweza akajiunga na Bolton huku Adam akifikiriwa kwenda Fulham kwa ajili ya kukamilisha usajili wa Dempsey.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 23, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: