Chelsea wakataa £30mil ya Man City kwa David Luiz.


Luiz (kulia)

Kocha wa Man City Roberto Mancini anahitaji kusajili mabeki kwani safu yake ya ulinzi inaupungufu wa wachezaji mfano mzuri ni Micah Richards ambaye hatokuwepo uwanjani kwa takribani wiki 10 kutokana na kuwa majeruhi.

David Luiz hakujumuishwa katika kikosi cha jana usiku cha Chelsea ikisemekana Chelsea walikuwa wanajaribu kufikia muafaka na Man City kwa ajili ya mchezaji huyo.

Luiz mwenye alitumia mtandao wa twitter kusema ya kuwa hakuwepo katika mechi hiyo kutokana na kuumia goti ambako kitendo hicho kiliwakera Chelsea na kuamua kumpiga faini Luiz.

“Mitandao hii ya kijamii imejaa siku hizi na imetuzunguka kila kona, lakini kuhusiana na swala letu hili tutalishughulikia ndani kwa ndani” alisema Di Matteo.

Luiz bado yupo katika mipango ya Di Matteo kwa hiyo kama City watataka kumpata itabidi waongeze juhudi zaidi na fedha zaidi.

Chanzo: theSUN

Advertisements

Posted on August 23, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: