Arsenal wamtaka Jesus Navas kama mbadala wa Walcott.


Jesus Navas

Inasemekana Arsenal wanataka msajili Jesus Navas kama mbadala wa Walcott ambaye amebakiza mwaka mmoja tu katika mkataba wake, anaonekana hana mpango wa kusaini mkataba mpya na hivyo kumlazimu Wenger kupanga mipango ya kumuuza kuliko kumpoteza kwa bure msimu ujao.

Chelsea na Liverpool zasemekana kumfuatilia kwa karibu mchezaji huyo wa Arsenal kwa ajili ya kufanya mipango ya kuweza msajili.

Gazeti la Hispania “AS” limesema usajili mpya wa Arsenal Santi Cazorla amemshawishi Wenger kufikiria kumsajili Jesus Navas.
Navas anauzwa kwa ada ya paundi mil35 kutokana na maandiko yaliyopo katika mkataba wake lakini Sevilla wapo tayari kupokea nusu ya pesa hiyo.

Chanzo: Dailystar

Advertisements

Posted on August 23, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: