Welbeck asajili mkataba mpya.


Danny Welbeck

Kocha wa Man United amemtabiria Welbeck kuwa na maisha mazuri ya kisoka mbeleni baada ya mchezaji huyo kusaini mkataba mpya wa miaka minne.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amepewa sifa nyingi na kocha wake huyo kutokana na kujituma kwake akiwa uwanjani.

“Danny amekuwa klabuni hapa tokea alipokuwa na umri wa miaka nane (8) na amejitahidi mpaka sasa anacheza kikosi cha kwanza.
Amekuwa mpaka mchezaji tegemeo katika timu ya taifa pia kama alivyoweza onesha katika mashindano ya Euro. Maisha yake yakisoka yanaonesha yatakuwa mazuri sana mbeleni.” alisema Fergie.

Danny Welbeck..

“Kuichezea Man United ni kitu nlichokuwa nataka tokea zamani, ni klabu ambauo nimekuwa nkiipenda maisha yangu yote. Nafuraha kuwepo hapa na nataka isaidia timu kushinda mataji.
Kila siku najitahidi nijifunze mambo mapya toka kwa meneja wangu na wachezaji wenzangu.” alisema Welbeck

Mkataba mpya huo aliousaini Welbeck wa miaka minne inasemekana utampelekea kuweza kupokea mshahara wa paundi 75,000 kwa wiki.

Chanzo: Dailymail  

Advertisements

Posted on August 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: