Tottenham wakamilisha usajili wa Adebayor.


Emmanuel Adebayor

Mchezaji Emmanuel Adebayor amesema anauchu na magoli baada ya kukamilisha usajili wake wa kutua Tottenham.

Hatimaye Man City wameweza muachia mchezaji huyo wa Togo kuweza ihama klabu hiyo moja kwa moja kwa ada ya paundi mil 5.

Usajili huo wa Adebayor mwenye umri wa miaka 28 ni shangwe kwa Villa-Boas ambaye mpaka jana Jumanne alikuwa na mshambuliaji mmoja tu Jermain Defoe.

“Nina furaha kuweza rudi tena Tottenham kwa mkataba wa kudumu.
Imechukua mda sana lakini nashukuru imekamilika na nimerudi Tottenham.
Nilifurahia sana kuchezea klabu hii msimu uliopita na nataraji hivyohivyo msimu huu.” Alisema Adebayor

Adebayor hakuishia hapo aliamua hadi kutumia mtandao wa Twitter kuonesha hisia zake,

“Nimerudi Tena!!!! Tottenham ndo hivyo naja!! Nina uchu na magoli… Jianadaeni” aliandika Adebayor.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: