QPR kumsajili Carvalho.


Ricardo Carvalho

Mark Hughes inasemekana yupo mbioni kuakamilisha usajili wa beki wa Real Madrid Ricardo Carvalho kwa mkopo.

Timu ya QPR wikiendi iliyopita ilichezea kichapo cha magoli matano na hivyo kumpelekea kocha huyo kuanza fikiria tena safu yake ya ulinzi. Michael Dawson beki wa Tottenham pia anasemekana yupo njiani kutua QPR kwa hiyo kama wote wakija klabuni hapo kuna uwezekano mkubwa ngome ya Ulinzi ya QPR ikawa imepata ahueni.

Ricardo Carvalho

Carvalho ambaye tayari alishawahi cheza katika ligi ya Uingereza akiwa na klabu ya Chelsea hivi sasa anarudi katika ligi hiyo akiwa timu pinzani.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: