Man United wamsajili Buttner.


Alexander Buttner

Mchezaji Alexander Buttner amesema usajili wake wa paundi mil 4 wa kutua Man United ndio siku bora kuliko zote maishani.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amesaini mkataba wa miaka mitano baada ya kuihama klabu yake ya Vitesse Arhem alioichezea mechi takribani 119.

Mchezaji huyo ambaye ni beki wa kushoto inasemekana amesajiliwa ili kumuongezea Evra presha ya kugombania namba.

Alexander Buttner..

“Kujiunga na Man United kumeifanya siku huu kuwa bora maishani mwangu.
Ni timu ambayo nimekuwa nkiipenda kwa miaka mingi sana na sasa ninashauku kukutana na wachezaji wenzangu na unagana nao katika kuopeleka mbele klabu.” alisema Alexander Buttner.

Ferguson nae alisema,
“Alexander ni miongoni mwa mabeki wadogo bora Ulaya na tunafuraha kumpata. Ni mchezaji ambaye tumekuwa tukimfuatilia kwa muda sasa.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: