Man United kuipiku Liverpool kwa Zorro.


Hector Herrera..

Inasemekana Man United inataka toa paundi mil 10 kwa ajili ya kumpata mchezaji wa kimexico Hector Herrera.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 ndio alikuwa chachu mpaka Mexico kuweza ibuka mabingwa wa Olympic na amekuwa akifuatiliwa na Man United pamoja na Liverpool kwa mda sasa.

Mkurugenzi wa michezo wa Klabu ya Pachuca amesema waliombwa ruhusa na Man United kwa ajili timu hiyo (United) waweze ongea na mchezaji “Zorro” (jina la utani la Herrera) kwa ajili ya uwezekano wa kuja Uingereza.

“Kuna maombi ya kutakwa kwa mchezaji wetu, tuna nakala za maandishi mpaka sasa” alisema mkurugenzi huyo.

Hector Herrera

Herrera anauguza majeraha yake ya goti aliyoyapata toka Olympic lakini Man United wanamuona mchezaji huyo kama ndio mbadala wa Lucas Moura aliyeamua kujiunga na PSG.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 22, 2012, in Mpira and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: