Arsenal wamsajili Nuri Sahin.


Nuri Sahin

Arsenal wamefanikiwa msajili Nuri Sahin baada ya kukubaliwa kumchukua mchezaji huyo kwa mkopo. Mkataba huo wa mkopo unakipengele ambacho chasema kama Arsenal watamuhitaji moja kwa moja basi itawalazimu kutoa paundi mil 14.

Arsenal walikuwa na uhakika wa kumpata mchezaji huyo mpaka wakawa tayari wameshaandaa wapiga picha tayari kwa ajili ya kumtambulisha kama mchezaji wao ingawa walikuwa bado hawajamsajili.

Vilevile klabu hiyo inapanga kumuondoa Arshavin ambaye inasemekana ataelekea Zenit Petersburg.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: