Southampton wamsajili Gaston Ramirez.


Gaston Ramirez

Southampton wamemsajili mchezaji ambaye alikuwa akifuatiliwa kwa karibu sana na klabu ya Liverpool.

Southampton wanajiandaa kutoa paundi mil 11.8 kwa ajili ya kumpata mchezaji huyo.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amesema mwenyewe ya kuwa anatarajia kujiunga na klabu hiyo ya Uingereza na kuwa anafuraha kujiunga nao.

“Ukweli ni kuwa, ninaihama Bologna baada ya Bologna kukubaliana na Southampton na nimaswala madogomadogo tu ndo yamebakia.
Lakini nimefurahi kwani Southampton wameonesha kuniamini. Ndio kwanza wamepanda daraja lakini ninaimani watakuja kuwa timu kubwa hivi karibuni.” alisema Gaston Ramirez

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 18, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: