QPR wamsajili Bosingwa.


Jose Bosingwa

Timu ya QPR imethibitusha kumsajili beki wa Chelsea kwa mkataba wa miaka mitatu.

Mark Hughes anaonesha hataki mchezo safari hii kwani anazidi imarisha kikosi chake kila kukicha.
Ameweza mpata Bosingwa ambaye alikuwa akifuatiliwa na klabu nyingi kubwa balani Ulaya zikiwemo Anzhi Makhachkala, Inter na Monaco.

Bosingwa amekuwa mchezaji wa nane kusajili klabuni hapo QPR msimu huu.

“Ninafuraha kumleta mchezaji mwenye uwezo kama wake klabuni hapa, mchezaji huyu ananguvu na spidi. Anauwezo wa kucheza kama beki wa pembeni na pia kama kiungo.
Uzoefu wake utatufaa sana sisi, anaijua Ligi vizuri na anajua nini chakufanya ili kushinda mataji na hicho ndicho nachokitaka hapa.” alisema Hughes

“Ninafuraha kuwa hapa, nilikuwa na klabu nyingi za kuchagua kwenda lakini mikakati ya hapa ilinivutia zaidi.
Niliongea jana na kocha pamoja na mmiliki wa klabu na wakanionesha ni nini wanakitaka.
Sasa mie ni mchezaji wa QPR na ninaahidikucheza kwa uwezo wangu wote.”

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 18, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: