Dempsey apigwa faini kwa kuitaka Liverpool.


Clint Dempsey

Clint Dempsey amepigwa faini na klabu yake ya Fulham baada ya kugomea kucheza mechi ya leo ya ligi dhidi ya Norwich.

Mchezaji huyo amekuwa akitaka kuihama Fulham tokea msimu ulipoisha na taarifa za chini zaseme ameapa kutoichezea klabu hiyo tena, kitendo hicho kimemudhi sana Jol (kocha wa Fulham) na hatimaye akaamua kuweka wazi kwa kusema,

“Clint alimwambia kila mtu kuwa anaondoka anaenda Liverpool kabla hata hajarudi kujiunga na timu mpaka na sisi tukajua kwamba kweli patakuwa na ofa hiyo.
Hata Brendan Rodgers aliwaambia kila mtu kuwa anamtaka Clint lakini mpaka sasa hatujapata ofa yoyote.
Clint mwenyewe anataka kuondoka, hataki kuichezea klabu hii tena hali ya kuwa mie ngependa aendelee bakia hapa.
Aliniambia anataka kwenda katika klabu inayocheza Champions League” alisema Jol

Dempsey nae hakukaa kimya akajibu tuhuma hizo kupitia mtandao wa Twitter kwa kusema,

“Kuna pande mbili katika habari iliyosemwa kuhusu mie.
Ukweli wote utakuja julikana karibuni.”

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 18, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: