Sunderland wamsajili Louis Saha.


Louis Saha

Kocha wa Sunderland Martin O’Neill amesema Saha ataisaidia timu hiyo katika idara ya ufungaji magoli ingawaje amesaini mkataba wa mwaka mmoja tu.

Mchezaji huyo mwenye miaka 34 amejiunga na Sunderland akitokea Tottenham baada ya mkataba wake na Tottenham kuisha. Saha amechezea klabu nyingi za ligi ikiwemo Newcastle, Fulham, Man United, Everton na Spurs.

“Louis ni mchezaji mzoefu ambaye ameweza cheza katika kila nyanja ya ligi hii na anatua hapa akiwa na uzoefu na ujuzi wa kutosha.
Ninafuraha kuweza msajili na nina imani atatusaidia kwani katika sehemu ya ushambuliaji tulikuwa twahitaji mtu wa namna yake” alisema O’Neill.

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on August 17, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: