Liverpool wamsajili Oussama.


Assaidi

Timu ya Liverpool imekamilisha usajili wa mchezaji wa Heerenveen ya Uholanzi aitwaye Oussama Assaidi kwa ada ya paundi mil 3.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alikuwa katika mwaka wake wa mwisho wa mkataba na klabu yake ya Heerenveen ambako ikapelekea klabu nyingi kutaka msajili zikiwemo Ajax,Spartak Moscow na Galatasaray lakini mwenyewe akaamua jiunga na miamba hiyo ya Liverpool.

Assaidi atakuwa akilipwa paundi 21,000 kwa mkataba wa miaka minne hapo Liverpool ambako anakuja kuziba pengo liliachwa na Dirk Kuyt na Maxi Rodriguez.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 17, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: