Barton kwenda Marseille na Bosingwa kutua QPR.


Barton

Barton ambaye amefungiwa kucheza mechi 12 za mwanzo za ligi na huku namba yake ya mgongoni 17 ikichukuliwa na Ryan Nelsen anaarajiwa kujiunga na klabu ya Ufaransa ya Marseille.

Mchezaji huyo alikuwa akitakwa na Blackburn, Nottingham Forest na Sheffield Wednesday kote kwa mkopo lakini sasa inaonesha atatua panapo jiji la Marseille na huku pakiwa na uwezekano wa kuhamia moja kwa moja huku Stephane M’bia akihama toka Marseille kwenda QPR.

Jose Bosingwa

Mark Hughes nae anaendelea imarisha kikosi chake kwa kupanga kumsajili beki wa Chelsea Bosingwa mwenye miaka 29.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 17, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: