Newcastle wamsajili Anita.


Vurnon Anita

Newcastle wamekamilisha usajili wa mchezaji wa Ajax Vurnon Anita kwa ada ya paundi mil 6.7

kiungo huyo mwenye umri wa miaka 23 amesaini mkataba wa miaka mitano na klabu hiyo ya Newcastle na kocha Alan Pardew ameridhishwa na usajili huo.

Vurnon Anita ..

“Twafurahi kuweza mpata Vurnon.
Ni mchezaji wa kipekee na mwenye uwezo mkubwa sana na hicho ndicho hasa ninacho kitafuta kwa mchezaji.
Bado ana miaka 23 kwa hiyo ninaamini ataichezea Newcastle kwa mda mrefu na mafanikio” alisema Pardew.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: