Wigan wamsajili Muivory Coast.


Arouna Kone

Wigan wameimarisha safu yao ya ushambulizi kwa kumsajili mchezaji wa Ivory Coast Arouna Kone kutoka Levante.

Wigan walidhihirisha kumpata mchezaji huyo kwa mkataba wa miaka mitatu baada ya kukamilisha usajili wa paundi mil 2.7

mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ameweza  funga magoli 15 akiwa na timu yake ya Levante msimu uliopita.

“Wigan Athletic wanafuraha kutangaza usajili wa mshambuliaji wa Ivory Coast Arouna Kone ambaye amesajiliwa kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea klabu ya Levante” Tariifa toka katika website ya Wigan.

Ryo-miyaichi

Kutua kwa Kone kumefanyika baada ya Wigan kuweza fanikisha usajili wa Winga Ryo Miyaichi toka Arsenal kwa mkopo.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 15, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: