Rodgers kusajili wawili Hispania.


Cristian Tello

Kocha wa Liverpool Brendan Rogers yupo katika mchakato wa kufanya usajili  wake wa tatu kwa mchezaji wa Barcelona Cristian Tello.

Mchezaji huyo mwenye miaka 21 mkataba wake na Barcelona unaisha mwakani na klabu nyingi zimeanza mtolea macho mchezaji huyo.

Itamlazimu Rodgers kutoa paundi mil 7 ili kuweza mpata mchezaji huyo ambaye anaweza cheza pande pembeni au hata katikati.

Nuri Sahin

Vilevile yasemekana kocha huyo wa Liverpool anataka kumsajili kwa mkopo mchezaji wa Real Madrid Nuri Sahin huku pakiwa na kipengele cha kumsajili moja kwa moja kama atafanua vizuri.

Arsenal nao yasemekana wanawafuatilia wachezaji hao kwa karibu sana lakini Liverpool watatumia uhusiano alionao Rodgers na Mourinho katika kuweza kumpata Sahin.

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on August 15, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: