Ashley Cole ampa mtoto medali.


Bailey McColgan

Baada ya Chelsea kufungwa na Man City, Ashley Cole alienda katika jukwaa la Mashabiki wa Manchester na  kumpa mtoto medali yake ya Ngao hiyo ya Hisani.

Mtoto huyo ambaye anaitwa Bailey McColgan alikuwa uwanjani hapo akishuhudia timu yake ya City ikiinyuka Chelsea, alijawa na furaha mwishowe pindi alipomuona Ashley Cole akija alipo na kumwambia ” Hii ni kwa ajili yako”.

medal

Tokea apewe medali hiyo Bailey amekuwa akienda nayo kila mahala na hata kudiriki kulala nayo.

Bailey

“Nilinyoosha mkono na akanipa. Ilinifanya njiskie vizuri sana nadhani Ashley ni mtu poa sana. Nimeionesha medali hiyo kwa kila mtu.” Alisema Bailey.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 15, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: