West Ham kutoa mil 6 kwa Liverpool kwa ajili ya J.Cole.


Joe Cole..

Inasemekana kocha wa West Ham Sam Allardyce anajipanga kutoa paundi mil 6 kwa ajili ya kumpata mchezaji wa Liverpool Joe Cole.
Sam anataka kumrudisha Cole mahala mabako alianzia mpira wake kipindi alipokuwa na miaka 13 kabla hajahama na kujiunga na chelsea.

Ingawa kocha wa Liverpool amesema J.Cole yupo katika mipango yake lakini ni wazi kuwa kuondoka kwa akina Kuyt, Maxi na Bellamy ni kwamba kocha huyo anataka damu changa hasahasana sio wazee.

Kama ofa hiyo ikitolewa kuna uwezekano mkubwa Rodgers akaikubali na akaitumia pesa hiyo katika kufanya usajili zaidi.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on August 12, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: