Liverpool kumtumia Adam ili kumpata Dempsey.


Charlie Adam

Kocha wal Liverpool Brendan Rodgers anajiandaa kumtoa kiungo wake Charlie Adam kwa klabu ya Fulham ili aweze mpata Clint Dempsey.

Rodgers anamuona Adam mwenye umri wa miaka 26 kama kiungo asiyehitaji hapo Anfield na hasahasa baada ya usajili wa Joe Allen kukamilika.

Rodgers pamoja na wamiliki  wa Liverpool wanamtaka Dempsey lakini mpaka sasa wameshindwa fikia muafaka na klabu ya Fulham ambao wao wanataka walipwe paundi mil 10 kwa ajili ya mchezaji huyo.

Kumuingiza Adam katika dili hilo kutaweza kamilisha usajili huo kwani Fulham wanatafuta kiungo mchezeshaji kutokana na kumpoteza kiungo wao Danny Murphy kwa Blackburn.

Clint Dempsey

Rodgers anamuhusudu Adam lakini baada ya kuona uwezo na Ubora aliokuwa nao Jonjo Shelvey panauwezekano mkubwa akaamua muachia adam aondoke.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 12, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: