Liverpool 3 Bayer Leverkusen 1.


Sami Hyypia arejea anfield

Liverpool leo wamecheza mechi yao ya mwisho ya kirafiki kama maandalizi ya kuanza kwa ligi wiki ijayo.
Ni mechi ambayo ilimhusisha mchezaji wa zamani wa Liverpool Sami Hyypia kurudi tena hapo uwanjani Anfield lakini sasa akiwa kama kocha wa Leverkusen.

Raheem Sterling akishangilia goli lake

Raheem Sterling akishangilia goli lake…

Goli la kwanza la Liverpool lilifungwa na mchezaji chipukizi Raheem Sterling ambaye ana umri wa miaka 17, huku goli la pili na la tatu yakifungwa na Lucas na Carroll.

Lucas Leiva akifunga

Lucas Leiva akishangilia goli lake

Goli la Leverkusen lilifungwa na mchezaji Gonzalo Castro katika dakika ya 75.

Lucas Leiva akipongezwa.

Andy Carroll akifunga

Liverpool wanaweza jisifu kwani matunda ya Tik Tak yanaonekana kutokana na uwezo wao wa kupiga unaongezeka.
Joe Allen ambaye amesajili juzi nae alikuwa uwanjani akishuhudia mechi hiyo.

Joe Allen ndani

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 12, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: