Hannover 3 Man United 4.


Wayne Rooney akiwa kazini.

Pamoja na kocha wao Sir Alex kutokuwepo vijana hao waliweza jikaza kiume na kuweza fanikiwa toka na ushindi.

Nani akiwa kazini

Wayne Rooney aliweza funga magoli mawili ambayo yaliweza isaidia timu yake kuwaza toka na ushindi, huku magoli memngine yakifungwa na Chicharito na Kagawa.

Rooney

Hannover ndio walikuwa wakwanza kuona bao la United lakini Chicharito akafanya ubao wa magoli kuwa sawa na mpaka mwisho wa mchezo ubao ukawa unasoma Man United 4 Hannover 3.

Michael Keane kiungo chipukizi

Huku nafasi ya kiungo mkabaji ikichezwa na watu wawili kwa pamoja Carrick na Michael Kean.

De Gea

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 12, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: