Chelsea 2 Manchester City 3.


Manchester City

Leo ndio ilikuwa siku ya mechi ya ngao ya hisani na Mabingwa wa ligi Man City ndio walioibeba ngao hio.

Fernando Torres akifunga

Branislav Ivanovic akifanya rafu ya red card

Man City walitumia vyema kadi nyekundu aliyopewa Branislav Ivanovic na kuweza ishambulia Chelsea mpaka kufanikiwa kupata ushindi.

Yaya Toure akisawazisha

Carlos Tevez akishangilia goli lake

Samir Nasri akipongezwa

Chelsea ndio walikuwa wa kwanza kupata Goli kupitia mchezaji wao Torres lakini baada ya kadi hiyo nyekundu Man City wakasawazisha kupitia goli la Yaya Toure na baadae Tevez na Nasri wakafunga magoli zaidi huku mchezaji wa Chelsea Ryan Bertrand akufunga goli la pili na la mwisho kwa Chelsea.

Ryan Bertrand akifunga

Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Terry, Cole, Lampard, Mikel, Ramires, Eden Hazard (Bertrand 71), Mata (Sturridge 74), Torres.
Subs ambazo hazijatumika: Turnbull, Essien, Meireles, Cahill, Piazon.
red card: Ivanovic (42).
kadi za njano: Ramires, Mikel, Lampard, Cole, Bertrand.
magoli: Torres 40, Bertrand 80.

muitaliano mwenye majonzi

Man City: Pantilimon, Savic (Clichy 46), Kompany, Kolarov, Zabaleta, Milner, Y Toure, De Jong, Nasri (Silva 76), Tevez (Dzeko 88), Aguero.
Subs ambazo hazijatumika: Holmen Johansen, Adam Johnson, Toure, Razak.
kadi za njano: Savic, Kompany, Pantilimon.
magoli: Toure Yaya 53, Tevez 59, Nasri 65.

muitaliano mwenye furaha

mashabiki wa City

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on August 12, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: