Mancini atishia kuacha kazi baada ya PSG Kumtaka Balotelli.


Balotelli ..

PSG inasemekana imetoa paundi mil 40 kwa Man City kwa ajili ya kumpata Mario Balotelli lakini fedha hiyo imekataliwa baada ya Mancini kutishia kuacha kazi kama mchezaji huyo akiuzwa.

Imekuwa ikisemekana kuwa klabu nyingi zimekuwa zikitaka toa fedha kwa ajili ya Balotelli baada ya mchezaji huyo kufanya vizuri katika mashindano ya Euro.

Mancini hataki mchezaji huyo aondoke pamoja na mambo yake yote ya ajabu ambayo aliyafanya msimu uliopita na ikafikia hatua hata kocha huyo kusema ataacha kazi kama mchezaji huyo akiuzwa.

“Tumekuwa tukipokea maombi mengi kuhusiana na Balotelli.
Mario amecheza vizuri katika mashindano ya Euro na ukizingatia ndo kwanza anamiaka 21 kwa hiyo ninaimani atakuwa zaidi kimpira.”

Balotelli yupo katika kikosi cha Man City ambacho kitaivaa Chelsea Jumapili hii.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 11, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: