Joe Allen atua Liverpool.


Brendan Rodgers akimkaribisha allen

Brendan Rodger hatimae amempata mchezaji aliyekuwa akimfuatilia kwa mda mrefu na kudaai ya kuwa angetoa hela ya aina yoyote ilimradi ampate.

allen akielekea anfield

Allen amekuwa usajili wa pili wa kocha huyo wa Liverpool baada ya Liverpool kukubali toa paundi mil 15 kwa ajili yake kiungo huyo wa Wales.

allen akiwa katika upimaji afya

Allen ndio mchezaji ambaye Rodgers alikuwa anataka kumsajili kuliko wachezaji wengine wowote na baada ya usajili huo Allen ameweza pewa jezi ya namba 24 mgongoni huku Rodgers akimfananisha mchezaji huyo na viungo was kihispania.

allen akianguka saini

Ukimuona huyu kijana akiwa anacheza utasema ni muihispania. Ningelipa aina yoyote ya fedha kwa ajili yake.
Joe ni wa kipekee, hapotezi mpira na pindi anapokuwepo katika timu utaona utofauti anaouleta.
Ni mchezahi mzuri sana na cha ajabu ni kuwa bado ndo kwanza ana miaka 22, kwa hiyo yaonesha atakuja kuwa mzuri zaidi.
Nafurahi nimempata na kuwa atakuwa katika timu yangu” Alisema Rodgers.

joe allen

allen ndani ya melwood

Allen nae baada ya kuhojiwa akasema,
Kila mtu anajua historia ya Klabu hii na kwa upande wangu nafurahi kuwepo hapa.
Mapenzi ya watu wa Liverpool walionayo katika ni sawa na niliyonayo mie.
Nataka nije na niwepo katika mafanikio ambayo yatapatikana hapa kwa miaka mingi ijayo.
Kujiunga na Rodgers na jambo bora kwangu kwani, kocha huyu ana penda mpira, hapumziki katika kupata ufumbuzi ilimradi tu timu yake iwe bora.
Kila mtu akishamjua lazima atampenda na atataka fanya kazi nae.
Ninaimani kubwa juu ya Rodgers ya kuwa ataleta mafanikio hapa na mimi nataka kuwepo katika hayo mafanikio atakayoyaleta.”

allen mwanaliverpool

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 11, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: