Arsenal wakamilisha uhamisho wa Vela.


Carlos Vela

Mchezaji wa Kimexico Carlos Vela amekamilisha uhamisho wake wakutoka Arsenal na kuhamia Real Sociedad baada ya kukaa miaka 7 akiwa na Arsenal.

Mchezaji huyo alijiunga na Real mwaka jana kwa mkopo na kuweza fanikiwa funga magoli 12 katika mechi 35.

“Kila mtu katika klabu twamshukuru Carlos kwa mchango wake katika klabu hii ya Arsenal na twamtakia maisha mema katika maisha yake” Ilesema taarifa toka website ya Arsenal.

Vela alitua Arsenal mwaka 2005 na kufanikiwa kucheza mechi 29 tu huku akipata magoli 3.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on August 11, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: