Arsenal kumsajili Fabregas mpya.


Isco

Inasemekana kocha wa Arsenal Arsene Wenger anataka kumsajili mchezaji wa kihispania aitwaye Isco ambaye anachezea Malaga. Klabu hiyo inayomilikiwa na waarabu wa Qatar inayumba kutokana na maswala ya kifedha na hivyo kuuza wacheza ndio itakuwa nusura yao.

Tayari Arsenal wameshamnunua Cazorla toka Malaga na sasa wanataka mnunua kiungo Isco mwenye umri wa miaka 20 ambaye uchezaji wake unafananishwa na wa Cecs Fabregas.

Malaga wapo tayari kumuuza mchezaji huyo na Arsenal yasemekana wapo tayari toa paundi mil 8 kwa ajili ya mchezaji huyo.

Chanzo: Caughtofside

Advertisements

Posted on August 11, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: