West Brom wamtaka Lukaku wa Chelsea.


Romelu Lukaku

Mchezaji wa Chelsea Romelu Lukaku anaweza kwenda panapo klabu ya West Brom kwa mkopo baada ya msemaji wake (agent) Chrostophe Henrotay kukanusha ya kuwa Lukaku amejiunga na Fulham.

“Ninawahakikishia ya kuwa Lukaku haendi Fulham.
Kwa mda huu ninamalizia maelewano na klabu nyingine ambayo ipo katika ligi hiihii ya Uingereza na hapo ndipo Lukaku ataenda kwa mkopo. Siwezi sema ni klabu gani au lini atajiunga lakini mambo yanasogea.” alisema Henrotay.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: