USA 2 Japan 1 (OLYMPIC)


The USA wakiwa na medali zao

Timu ya wanawake ya marekani jana iliweza lipiza kisasi kwa Japan ambao waliwafunga katika fainali ya kombe la dunia la wanawake. Kutokana na ushindi huo, marekani jana ilipata medali za dhahabu na kuweza kutawazwa kama mabingwa wa Olympic kwa upande wa mpira wa miguu kwa wanawake.

The USA wakiwa na medali zao..

Carli Lloyd

Magoli mawili yaliofungwa na Lloyd ndio yalitosha wafanya Marekani kuweza kuwa mabingwa jana na pia kuweza wafanya marekani kuwa mabingwa wa olympic kwa mara ya tatu mfululizo.

Carli Lloyd akifunga goli la pili

Mchezaji Yuki Ogimi alifunga goli kwa upande wa Japan lakini halikusaidia kitu kutokana na magoli mawili yaliokuwa yamefungwa na Lloyd.

Carli Lloyd akishangilia goli

Lloyd alimanusra angefunga hatrick pindi alipo kokota mpira na shuti lake kuokolewa na kipa wa Japan.

Abby Wambach akishangilia ushindi

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: