Rooney: Naomba Mungu tumsajili Van Persie.


Rooney akimsifu van persie

Wayne Rooney ameonesha nia yake ya kutaka kucheza na mchezaji wa Arsenal Robin van Persie huku kocha wa Man United Alex Fergie nae akiweka wazi swala la kutaka kumsajili mchezaji huyo.

“Ni mchezaji ambaye namuhusudu sana. Ni mchezaji mzuri, amekuwa akicheza vizuri Arsenal kwa mda mrefu sasa.
Msimu uliopita nadhani ndio ulikuwa msimu bora kwake kwani alifunga magoli mengi sana na natumai kama akija hapa kwetu basi kikosi chetu kitakuwa imara zaidi.” alisema Rooney.

Van Persie mazoezini

Kisha akaendelea kwa kusema,
“Man City wanawachezaji wazuri. Chelsea wametumia hela sana kipindi hiki cha usajili kwa hiyo natarajia ligi itakuwa ngumu”.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: