Rodgers: Bellamy anaenda Cardiff.


Craig Bellamy anakimbilia cardiff

Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amethibitisha ya kuwa Bellamy anaihama klabu hiyo na kujiunga na klabu yake ya nyumbani ya Cardiff.

Anapenda kucheza mpira na anaipenda Liverpool lakini tokea mwisho wa msimu ulipita alikuwa ameshaamua ni wapi anataka awepo.
Mimi kama kocha naheshimu maamuzi yake. Kitu cha muhimu ni furaha ya mchezaji na kama hatokuwa na furaha basi hatoweza cheza vizuri kwa asilimia 100.
Cardiff ndipo ambapo natarajia ataenda na kama kweli akienda basi sie wote twamtakia kila lililo kheri. Naamini ataendelea kuwa shabiki wa Liverpool milele.
Kuondoka kwake sio kwa sababu ya kimpira ila ni kwasababu za kifamilia.
Maana yeye sasa anamiaka 33 na amesafiri sana nchi tofauti tofauti kwa hiyo bila shaka sababu hapo ya kuhama ni ya kwake binafsi na sio kimpira.
Ni mchezaji ambaye muhimu lakinoi hatoweza cheza kila wiki maana anaelekea ukingoni sasa wa mpira wake.” alisema Brendan Rodgers.

Brendan Rodgers akiwa mazoezini

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: