Liverpool 3 FK Gomel 0 (agg 4-0).


Borini akishangilia na kisu mdomoni

Ni mechi ya kwanza ya Rodgers na Borini kuweza kucheza ndani ya uwanja wa Anfield tangia watue klabuni hapo. Borini jana aliweza wanyanyua mashabiki wa Liverpool kwa kuweza funga goli la kwanza la mchezo huku mchezaji anayetarajiwa kusajiliwa na Liverpool Joe Allen akiwa jukwaani akishuhudia Liverpool ikifuzu hatua ya mwanzo ya mashindano ya Europa.

Borini kifunga goli la kwanza anfield

Liverpool wamefuzu kuingia hatua nyingine ya mashindano hayo baada ya kushinda mechi zote mbili, ambako awali walishinda 1-0 katika uwanja wa ugenini na jana kumaliza kazi kwa kushinda 3-0 kwa magoli yaliyofungwa na Borini, Gerrard na Glenn Johson.

Brendan Rodgers akishangilia

“Nataka kuwashukuru mashabiki kwa jinsi walivyonikaribisha leo Anfield.” alisema Rodgers.

joe Allen akiishuhudia liverpool ikishinda

Rodgers anaendelea kuisuka timu hiyo kwa kutaka kumsajili Joe Allen, Allen tayari ameshawaambia mabosi wa Swansea ya kuwa anataka kuihama klabu hiyo na tetesi zasema atajiunga na Liverpool huku vipimo vikitarajiwa fanyika ijumaa.

Steven Gerrard akipongezwa baada ya kufunga

“Ni dhahiri inaonesha kuwa kuna uhusiano mzuri na Swansea kama mchezaji wao yupo jukwaani leo, tunatarajia kumsajili ndani ya masaa 24 huku Bellamy akitarajiwa kuhamia Cardiff” alisema Rodgers.

Daniel Agger akiwa kazini

Daniel Agger jana alicheza pia na mwisho wa mechi Rodgers alipoulizwa kuhusu mchezaji huyo alisema ni mchezaji mzuri na hana nia ya kumuuza.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo, Tetesi and tagged , , , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: