Kocha wa Juventus afungiwa miezi kumi.


Antonio Conte

Kocha wa Juventus Antonio Conte amepewa adhabu ya kufungiwa kwa mda wa miezi kumi baada ya kugundulika kuhusika katika upangaji wa matokeo kipindi alipokuwa akiifundisha timu ya Siena.

Chama cha mpira cha Italia (FIGC) kilitangaza ya kuwa kimemfungia kocha huyo kutokana na kushiriki kwake katika upangaji wa mechi pindi alipokuwa anaifundisha timu ya Siena mwaka 2010-11.

“Mashitaka haya yanayotolewa na chombo hiki cha Sheria yanahusu kesi mbili zinazohusu upangaji wa mechi.
Adhabu hizi zinawahusu Raisi wa Grosseto bwana Camilli na Makamu wa Timu ya Lecce, Semeraro wote hao wamefungiwa kwa muda wa miaka mitano.
Antonio Conte ambaye sasa ni kocha wa Juventus amefungiwa kwa mda wa miezi kumi na miezi nane kwa makamu wake Angelo Alessio.” Ilisema taarifa toka FIGC.

Kutokana na hivyo kocha huyo Conte na makamu wake Alessio hawatoruhusiwa kukaa katika benchi pindi timu yao itakapocheza na wala hawatoruhusiwa ingia katika vyumba vya kubadilishia nguo katika siku za mechi ila wameruhusiwa kuhudhuria katika viwanja vya mazoezi na kuwafundisha wachezaji wao.

Chanzo: ESPN

Advertisements

Posted on August 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: