Manchester City wamtaka Sinclair.


scott Sinclair..

Inasemekana Man City wantaka kutoa ofa kwa ajili ya kumpata winga wa Swansea Scott Sinclair.

Winga huyo mwenye umri wa miaka 23 ndio kwanza amerudi toka Olympic ambako alikuwepo na timu ya Great Britain na anataka kujua mustakbali wa maisha yake kwani amebakiza miezi 11 tu katika mkataba wake.

Hata hivyo City hawapo peke yao katika kutaka kumsajili mchezaji huyo, Tottenham, Liverpool na Manchester United wote wanamfuatilia mchezaji huyo kwa karibu na kumpata kwake timu hizo zitabidi zitoe paundi mil 8.

Swansea wanataka kumleta mchezaji wa Bristol City Albert Adomah ili aje ziba pengo la Sinclair.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 8, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: