Lucas Moura aikubali PSG.


Lucas Moura

Mchezaji wa Kibrazil Lucas Moura sasa imeweka dhahiri kuwa atajiunga na klabu ya ufaransa ya PSG na sio Man United kama ilivyodhaniwa mwanzo.

Sir Alex alionesha nia ya kumsajili mchezaji huyo na kudiriki hata kutoshiriki mechi dhidi ya Valerenga kwa ajili ya kuhakikisha mchezaji huyo anatua Man United lakini mambo sasa yamekuwa kinyume.

Moura amethibitisha ya kuwa maongezi kati yake na PSG yanaendelea na anatarajiwa kuihama Sao Paulo na kujiunga na PSG ifikapo mwezi Januari.

“Hili ni jambo zuri kwangu.
Nitabakia na Sao Paulo mpaka mwisho wa mwaka.
Nina imani Sao Paulo itakuwa vyema kwani nataka kuisaidia timu yangu kuweza fuzu cheza mashindano ya Libertadores Cup.
Kama kweli ntahama Januari basi nataiweza isaidia Sao Paulo.
Kwa sasa mawazo yangu yapo katika mashindano ya Olympic na ntaongea zaidi pindi mashindano yatakapoisha.
Nimeongea na Thiago Silva na Leonardo na wamesema mambo mazuri sana kuhusiana na PSG na mikakati yao ni mizuri”

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on August 8, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: