Iniesta amkaribisha Song Barcelona.


Alex Song

Andres Iniesta anaamini ya kuwa Alex Song atakuwa ni nyongeza bora katika timu yao ya Barca.

Tetesi za hivi karibuni zimesema ya kuwa Song anafuatiliwa na Barcelona na kuna uwezekano mkubwa akasajiliwa na Barca.

Iniesta amekuwa akivutiwa na uchezaji wa Song na amefurahishwa kuskia ya kuwa anataka kuja kutua Barcelona.

“Ni mchezaji mwenye uwezo sana, sijui ameanza lini cheza ila najua hajaanza cheza jana.
Ni mchezaji mwenye kiwango na nimeona tetesi nyingi zinazomuhusisha na yeye kuja Barca.
Sijajua mustakbali wa yeye kuja hapa umefikia wapi lakini kama atakuja basi tutamkaribisha kwa kila hali.
Kama atakuja hapa maanaake anauwezo wa kucheza hapa na sio vinginevyo.” alisema Iniesta

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on August 8, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: