Villas-Boas aanza ichekecha Tottenham.


AVB

Andre Villas-Boas anataka kuanza wiki hii kupitisha chujia katika timu yake hiyo ya Tottenham ambako ataamua wachezaji gani waondoke na nani wabakie.

Tottenham ndo wamerudi toka ziara yao ya Marekani ambako walikuwa wanacheza mechi za majaribio.

AVB atawaambia wachezaji ambao hawahitajiki klabuni hapo kuondoka na swala hilo linategemewa kufanyika wiki hii.

Gallas

David Bentley, Jermaine Jenas, Sebastien Bassong, William Gallas na Kyle Naughton wanatarajiwa kuambiwa ya kuwa hawahiyajiki na wanaweza ondoka klabuni hapo, huku vijana wa timu ya akiba wengi wao watapelekwa kwa mikopo klabu zingine.

Jermaine Jenas

Sandro, Steven Caulker na Gio Dos Santos watapewa mda wa kudhihirisha kama wanafaa bakia hapo au laa pindi mashidano ya Olympic yatakapo isha kwani wapo katika mashindano hayo na nchi zao.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: