Van Persie ajiunga na Arsenal.


Van Persie arudi..(wenger: karibu babaa)

Van Persie amesafiri na timu ya Arsenal kwenda nayo Ujerumani kwa ajili ya mechi ya majaribio dhidi ya Cologne na tetesi zaanza sema kuna uwezekano mkubwa akabakia klabuni hapo.

Van Persie ambaye klabu za Manchester na Juventus zinamtaka mpaka sasa hajajua muafaka wake kwani klabu hizo mpaka sasa hakuna hata moja ambayo imetoa fedha ambayo Arsenal wanaitaka kwa ajili ya kumuuzia mchezaji huyo.

Arsenal wameweka wazi ya kuwa watambakiza mchezaji huyo amalizie mwaka wake wa mwisho kama hakuna klabu itakayo toa paundi mil 25 kwa ajili ya kumnunua. Kutokana na hivyo tetesi zinazoanza sikika ni kuwa kuna uwezekano mkubwa Van Persie akabakia Emirates.

Chanzo: ESPN

Advertisements

Posted on August 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: