Usain Bolt kutua Man United.


Bolt

Jina lake sasa linasikika dunia nzima kama mtu anayekimbia kwa spidi kuliko mtu yeyote duniani na sasa anataka kuushangaza ulimwengu kwa kuhama fani.

Bolt akimaliza wa kwanza

Watu wanafikiria ya kuwa natania ninaposema ya kuwa nataka kuchezea Manchester United.
Kama Alex Ferguson akiniita kwa ajili ya majaribio kamwe siwezi kataa.
Nsingetaka kufanya hilo kama siliwezi, najijua mie ni mchezaji mzuri na naweza saidia sana timu kwani ntakuwa mtu mwenye mbio sana na pia ntakuwa mchezaji.
Nahisi nilimsaidia sana Cristiano Ronaldo kuwa mchezaji bora” alisema Bolt baada ya kushinda medali yake ya dhahabu katika mbio fupi.

Bolt na blake

Bolt alishawahi kwenda United ambako alikuwa akifanya mazoezi na Ronaldo na akaweza mfundisha hata jinsi ya kukimbia sana.

Bolt (katikati)

Haya Fegie kama Van Persie kagoma jamaa huyo hapo anataka….

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: